#HADITHI_FUNZO; Kijana Aliyeiba Shoka..

By | January 27, 2015
Mtu mmoja alipoteza shoka lake na akawa anahisi mtoto wa jirani yake ndio amemuibia. Kila alipokuwa anamwangalia kijana yule, jinsi alivyotembea, jinsi alivyoongea alionekana kabisa ndiye mwizi wa shoka lake. SOMA; Kauli Mbili Za Kuacha Kutumia Leo, Maana Zinaashiria Kushindwa. Siku moja mtu yule akiwa anafanya usafi kwenye banda lake

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In