Unataka Kuiona Dunia? Vua Miwani…

By | January 27, 2015
Unachokiona sasa hivi sio dunia halisi, bali ni dunia unayotaka kuiona wewe. Hii ni kwa sababu kila mtu ni kama amevaa miwani yake ambayo inamuonesha kile anachotaka kuona. Umewahi kuvaa miwani ya rangi? Unaonaje kitu unapokiangalia? Je unaonaje kitu kile unapovua miwani? Hiko ndio kinachotokea kweye maisha yako ya kila

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In