MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Je Upo Tayari Kupata Unachotaka? Siri Ni Hii Moja…
Unataka nini kwenye maisha yako? Maana kama hujui unachotaka tayari umeshakikosa. Je upo tayari kupata hiko unachotaka? Ni nini kinakuzuia mpaka sasa hujakipata? Haya ni maswali muhimu sana ya kujiuliza. Maana kuna kitu ambacho kimekufanya mpaka sasa hujapata unachotaka na kushindwa kujua kitu hiko kitaendelea kukuzuia. Jua kikwazo ni nini