MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Kwa Nini Watu Hawawaambii Wengine Kuhusu Biashara Yako.
Njia bora kabisa ya kutangaza biashara yako ni kushawishi mtu anayenunua kwako au mteja wako kuwaambia wengine kuhusu biashara yako. Yaani mteja wako anapata huduma au bidhaa kwako na anapokuwa na ndugu na jamaa zake anakuwa tayari kuwaambia kama mnataka huduma fulani, nendeni sehemu fulani(yaani kwako). Hii ni njia bora