UKURASA WA 94; Unajiambia Nini Unapoongea Na Wewe?

By | April 4, 2015
Kila mtu huwa anaongea na nafsi yake si ndio? Kila siku na kila mara kabla ya kufanya jambo lolote huwa unaiuliza nafsi yako, je hili ni jambo muhimu la kufanya? Je nitaweza kulifanya vizuri? Je wengine watanionaje nitakapolifanya? Je nikishindwa kulifanikisha itakuwaje? SOMA; BIASHARA LEO; Umuhimu Wa Hadithi Ya Biashara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In