BIASHARA LEO; Faida Ya Kushindwa Kwenye Biashara.

By | April 8, 2015
Kama utajifunza biashara kabla ya kuingia kwenye biashara utajifunza vitu vingi sana. Utajua kila aina ya kanuni na kila aina ya mbinu ya kuanza na kukuza biashara yako. Lakini unapoingia kwenye biashara yenyewe mambo hayaendi kiulaini kama ulivyokuwa unajifunza. Kwenye biashara halisi sio kwmaba kila kitu kitakwenda kama ulivyokuwa umepanga

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In