BIASHARA LEO; Mafanikio Ya Biashara Yanaanza Na Wewe Mwenyewe.

By | April 11, 2015
Nimekuwa napata bahati ya kukutana na kuwasiliana na wafanyabiashara wengi wadogo na wa kati kwa ajili ya ushauri. Kitu kikubwa ambacho nimekuwa nakiona ni mtazamo wa mtu kwenye biashara una athari kubwa sana kwenye biashara ya mtu. Kuna watu ambao wanafanya biashara kwa sababu wanataka tu kupata faida. Hawa ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In