UKURASA WA 101; Hakuna Atakayewakumbuka Watu Hawa.

By | April 11, 2015
Katika jambo lolote la tofauti ambalo utajaribu kufanya, kuna watu wengi sana watakupa maoni yao. Wengi watakukatisha tamaa na kukuambia huwezi. Na wataenda mbali zaidi na kukupa mifano ya watu waliojaribu na wakashindwa. Lakini kuna habari njema sana kwako. Na habari hizi ni kwamba hakuna atakayewakumbuka watu hawa. Baada ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In