MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Kitu Muhimu Kujua Kuhusu Mteja Wako.
Mafanikio yako kwenye biashara yanategemea kwa kiasi kikubwa ni jinsi gani unamjua mteja wako vizuri. Kumbuka tulishakubaliana kwamba lengo lako kubwa kwenye biashara ni kutengeneza wateja na ukishaliweza hilo faida inafuata bila hata ya kuumiza sana kichwa. Nasisitiza sana hili la wateja kwa sababu ndipo udhaifu mkubwa ulipo kwa wafanyabiashara