MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 104; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuibadili Dunia.
Kila mmoja wetu ana uwezo mkubwa wa kuibadili dunia. Kila mmoja ana eneo lake ambalo kama akiweza kulitumia vizuri itakuwa faida kwake mwenyewe na kwa wengi wanaomzunguka. Je wewe umeshapanga kuibadili dunia? Au unataka kuibadili dunia? Kama ndio karibu, na kama hujui uanzie wapi basi leo unapata pa kuanzia. SOMA;