MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Njia TANO Rahisi Za Kutangaza Biashara Yako.
Hata uwe na bidhaa au huduma bora kiasi gani, kama watu hawajui ipo, huna biashara. Jukumu lako kubwa kwenye biashara ni kuweza kulifikia soko lako. Kila mwenye uhitaji ajue hitaji lake linaweza kutatuliwa wapi. Njia ya uhakika ya kulifikia soko lako ni kupitia matangazo. Katika matangazo mteja anajua kwmaba upo