Weka Mayai Yako Yote Kwenye Kikapu Kimoja, Halafu Fanya Hivi….

By | April 21, 2015
#NENO_LA_BUSARA.. Kuweka mayai yako yote kwenye kikapu kimoja ni hatari. Sasa weka mayai yako yote kwenye kikapu kimoja na KILINDE SANA KIKAPU HIKO, kama unavyoyalinda maisha yako. Ni rahisi kufikisha kikapu kimoja chenye mayai kumi sokoni kuliko kufikisha vikapu kumi vyenye yai moja moja. Uwe na mapambano mema. TUPO PAMOJA.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In