BIASHARA LEO; Unawachukia Wateja Wasionunua Kwako?

By | May 14, 2015
Nakumbuka zamani kidogo, ulikuwa kama umezoea kununua vitu kwenye duka moja, na siku kitu ulichokuwa unataka hukukipata, ukaenda kwenye duka jingine ambapo mfanyabiashara anajua huwa unanunua wapi, angeweza kukataa kukuuzia. Anaweza kukuambia kwamba kila siku unapita pale na kwenda kununua kwingine kwa nini leo uende kununua kwake. Mwingine anaweza kukataa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In