UKURASA WA 134; Hukuja Na Maelekezo Kwa Mtumiaji Na Kwa Nini Ufurahie Hili.

By | May 14, 2015
Ukienda dunaki kununua kitu chochote utapewa maelekezo kwa mtumiaji. Kwa vitu vidogo vidogo yanaweza maelekezo yasiambatanishwe hii ni kwa sababu kila mtu anajua utumiaji wake. Lakini nenda kanunue simu mpya leo na ndani ya boksi la simu hiyo kuna kitabu chenye maelekezo kwa mtumiaji, tena kina maelezo rahisi na picha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In