BIASHARA LEO; Changamoto Ya Kupanga Bei Na Jinsi Ya Kukabiliana Nayo.

By | June 15, 2015
Kupanga bei kwenye biashara ni changamoto kubwa sana unayotakiwa kuifanyia kazi vizuri kama kweli unataka kupata mafanikio makubwa kupitia biashara unayofanya. Watu wengi wamekuwa wakifikiria kwamba ukishusha bei basi utapata wateja wengi sana. Huu sio ukweli kuuza vitu kwa bei ya chini kunaweza kuwa kikwazo kwako kupata wateja wengi zaidi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In