Tag Archives: UPANGAJI WA BEI

BIASHARA LEO; Changamoto Ya Kupanga Bei Na Jinsi Ya Kukabiliana Nayo.

By | June 15, 2015

Kupanga bei kwenye biashara ni changamoto kubwa sana unayotakiwa kuifanyia kazi vizuri kama kweli unataka kupata mafanikio makubwa kupitia biashara unayofanya. Watu wengi wamekuwa wakifikiria kwamba ukishusha bei basi utapata wateja wengi sana. Huu sio ukweli kuuza vitu kwa bei ya chini kunaweza kuwa kikwazo kwako kupata wateja wengi zaidi (more…)

BIASHARA LEO; Jambo Moja Muhimu La Kuzingatia Kwenye Upangaji Wa Bei.

By | May 18, 2015

Kama kuna maji ya makampuni matatu sokoni na maji ya kampuni moja yakawa yanauzwa kwa bei rahisi kuliko ya makampuni mengine, wateja watanunua yapi? Haihitaji elimu kubwa kujua kwamba watanunua yale maji yanayouzwa kwa bei rahisi. Wateja wengi watanunua maji hayo. Hii ni kwa sababu maji hayatofautiani sana, maji ni (more…)

BIASHARA LEO; Kama Unabadili Bei Kamwe Usifanye Hivi…

By | April 9, 2015

Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mafunzo ninayotoa utakuwa unaelewa kwamba tunajaribu kujenga utamaduni mpya kwenye biashara. Na utamaduni huu ni ule wa kufanya biashara kirafiki na kuwa na wateja ambao wanakuamini na kukutegemea. Mbinu nyingi tunazoshirikishana ni za kuweza kumfanya mteja awe rafiki yako na afurahie kufanya biashara na wewe. (more…)