UKURASA WA 199; Hakika Ukifa Masikini Umejitakia Mwenyewe.

By | July 18, 2015
Katika ulimwengu tunaoishi sasa, kama utashindwa kufikia mafanikio unayotaka kwenye maisha yako basi umeamua wewe mwenyewe. Kuna kauli moja maarufu ambayo imewahi kusemwa na tajiri namba moja duniani ndugu Bill Gates, alisema kwamba kuzaliwa masikini sio kosa lako, ila kufa masikini ni kosa lako. Nakubaliana naye kwa asilimia mia moja.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In