UKURASA WA 238; Unaona Nini?

By | August 26, 2015
Unapoyafikiria maisha yako, kuna picha ambayo unaiona. Unapofikiria siku zinazokuja, kwenye kazi yako, biashara yako na hata maisha yako kwa ujumla, kuna taswira ambayo huwa inakujia kwenye akili yako. TASWIRA UNAYOJIJENGEA KWENYE AKILI YAKO NDIO INAYOTOKEA KWENYE MAISHA YAKO. Mara nyingi taswira hii huwa ni hasi, kujiona umefukuzwa kazi, au

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In