Kwani mafanikio ni nini hasa?

By | September 9, 2015
Heus amicus/amica! Quid agis? Hapo ni habari rafiki, unaendeleaje? Kwa kilatini, unakumbuka nilikuambia mwezi huu nitajifunza kilatini? Ndio mambo yameanza, nipigie makofi kidogo. Kama wewe ni mwanaume salamu hiyo ya kwanza ingekuwa heus amicus na kama wewe ni mwanamke salamu hiyo ingekuwa amica. Kilatini kina maneno yanayotumika kwa wanaume(masculini generis),

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: ONGEA NA COACH MAKIRITA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz