UKURASA WA 262; Kila Mtu Ana Maoni.

By | September 19, 2015
Zama hizi tunazoishi kila mtu ana maoni. Na kila mtu ana maoni kuhusu jambo lolote. Na kila mtu anaweza kutoa maoni yake juu ya jambo lolote bila ya kujali maoni yake ni mazuri au mabaya. Na kusema ni rahisi sana, hasa kama huhusiki kwenye utendaji. Ni kitu kizuri kwa watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz