MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
MAMBO 20 NILIYOJIFUNZA KWNEYE KITABU FREAKNOMICS.
FREAKNOMICS ni kitabu kinachoelezea dhana za kiuchumi kwenye maisha ya kawaida ya mwanadamu. Ni kitabu ambacho kimeandikwa kwa misingi ya kuuliza maswali ambayo ni ya wazi na ambayo watu wamekuwa wakifikiri majibu ya wazi kumbe ni vitu havina uhusiano. 1. Kila binadamu anaendeshwa na motisha(incentive). Maamuzi unayofanya kwenye kazi au