Hiki Ni Kitu Kimoja Nakuhakikishia Utakutana Nacho Mara Kwa Mara.

By | October 15, 2015
Habari za wakati huu rafiki? Naamini uko vizuri sana, mimi pia nipo vizuri. Karibu tena leo kwenye mazungumzo yetu haya muhimu, ambapo mimi na wewe tunazungumza kama marafiki. Leo nataka nikuambie kitu kimoja ambacho nakuhakikishia utakutana nacho mara kwa mara. Na siku utakayoacha kukutana nacho, ni siku utakapoondoka kwenye dunia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In