UKURASA WA 295; Ndio Tumezoea Kufanya Hivi….

By | October 22, 2015
Sehemu kubwa ya maisha yetu inaendeshwa na tabia, ambazo tumejijengea kwa muda mrefu. Tabia zinatusaidia tuweze kuweka mawazo yetu kwenye yale mambo ambayo ni muhimu zaidi. Kwa mfano kila siku unapiga mswaki, lakini sio kwamba kila siku utakuwa kama ndio unaanza. Ukishachukua tu mswaki basi mengine yanafuata kama ulivyozoea. JE

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In