UKURASA WA 300; Fanya Kazi Yako Na Tutakujua….

By | October 27, 2015
Kwa nini unanijua mimi? Kwa sababu ninaandika, ninaandika kitu unachoweza kusoma, ukaelewa, ukafanyia kazi na ukaona mabadiliko kwenye maisha yako. Sio kwamba ninakaa mahali na kuanza kuwaambia watu, naweza kweli kuandika, ninaweza kuandika vitu vizuri. Badala yake nakaa chini na kuandika, na wewe umenijua mimi kupitia hilo. Kwa nini unamjua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz