Mambo matano(5) muhimu ambayo hujawahi kuambiwa kuhusu ujasiriamali.

By | November 16, 2015
Watu wengi wanaingia kwenye ujasiriamali kwa sababu wanaona ndio sehemu nzuri ya kujitengenezea kipato huku ukiwa na uhuru mkubwa. Ni kweli kabisa kwamba ujasiriamali unakupatia uhuru mkubwa. Lakini pia kuna mambo mengi ambayo watu wengi wanaoingia kwenye ujasiriamali huwa hawajui mpaka pale wanapokutana nayo. Na hata baada ya kukutana nayo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA NA UJASIRIAMALI

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz