UKURASA WA 323; Kabla Hujafanikiwa Wewe Ni Lazima Mtu Huyu Afanikiwe Kwanza.

By | November 19, 2015
Ndio kila mmoja wetu anapenda mafanikio makubwa kwenye maisha. Lakini jambo moja la ukweli ambalo huenda hujawahi kulipa uzito ni kwamba mafanikio yako hujiletei wewe mwenyewe. Kwa dunia tunayoishi ambayo kila kitu unamtegemea mwingine, huwezi kusema kwamba utajipa mafanikio yako wewe mwenyewe. Mafanikio yako yatatoka kwa watu wengine. Yaani wengine

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In