FALSAFA MPYA YA MAISHA; Hakuna Kitu Kinachotokea Kwa Bahati Mbaya.

By | December 6, 2015
Habari mwanafalsafa mwenzangu? Ni imani yangu kwamba uko vizuri na kupitia falsafa yetu hii mpya ya maisha, kuna mengi sana umeshaweza kujiepusha nayo. Najua kuna mengi zamani ulikuwa ukifanya tu bila ya kutafakari kwa kina, ila kwa sasa, baada ya kuwa unajifunza kupitia falsafa mpya ya maisha, basi umeanza kutafakari

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In