BIASHARA LEO; Ukisikia Kauli Hii Kutoka Kwa Mteja Jua Umeshampoteza.

By | December 7, 2015
Wewe kama mfanyabiashara ni lazima uweze kuwaelewa wateja kwa njia mbalimbali. Kuelewa kile wanachosema, na jinsi wanavyokisema ikiambatana na vitendo vinavyoendana na kile wanachofanya. Kuna baadhi ya kauli ukizisikia kutoka kwa wateja zinakupa moyo kwamba ni dalili nzuri, lakini ukweli ni kwamba kauli hizo zinaashiria umeshampoteza mteja. Kauli moja muhimu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In