MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Mara Zote Mteja Yupo Sahihi.
Karibu kwenye kipengele hiki ambapo tunakumbushana mambo muhimu kuhusu maendeleo na mafanikio ya biashara zetu. Leo tutagusia na kukumbushana eneo hili muhimu sana la biashara yako ambalo ni wateja. Na kuna kitu kimoja muhimu sana unatakiwa kukumbuka mara zote, ya kwamba mteja yupo sahihi mara zote. Inapotokea hali yoyote ya