UKURASA WA 399; Kuna Kitu Unaweza, Anza Kukifanyia Kazi Sasa.

By | February 3, 2016
Nashawishika na ninaamini kabisa, bila ya shaka yoyote kwamba wewe rafiki yangu kuna kitu unaweza kufanya. Kitu hiki ni tofauti kabisa na cha kipekee na kinaweza kufanya maisha ya wengine kuwa bora sana. Iwe ni kupitia kazi unayofanya sasa, iwe ni kupitia biashara yako, iwe ni kupitia vipaji ulivyo navyo,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In