UKURASA WA 400; Maana Halisi Ya Neno SIWEZI…

By | February 4, 2016
SIWEZI, kama yalivyo maneno mengine mengi ambayo watu hupenda kutumia hasa katika safari ya mafanikio, ni neno ambalo linatumika kuficha hali halisi. Ukweli ni kwamba siwezi siyo neno linalosimama lenyewe, ni neno linaloficha vitu vingine ambavyo mtu anavyo. Na mara nyingi neno hili SIWEZI, halina uhalisia kwa yule anayelitumia. Japo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In