UCHAMBUZI WA KITABU; Why Motivating People Doesn’t Work And What Does. (Sayansi Mpya Ya Hamasa Na Uongozi)

By | February 6, 2016
Kitabu WHY MOTIVATING PEOPLE DOESN’T WORK, kinaangalia kwa undano sayansi ya hamasa. Katika kitabu hiki tunajifunza mbinu mpya za kuwafanya watu wahamasike na kuchukua hatua zaidi. Kupitia kitabu hiki mwandishi Susan Fowler anatukumbusha kwamba huwezi kumhamasisha mtu, kwa sababu kilamtu tayari amehamasika. Unachoweza kufanya ni kujua mtu amehamasika kwenye nini

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

Prove your humanity