BIASHARA LEO; Chagua Wateja Kabla Ya Kuanza Biashara.

By | February 8, 2016
Moja ya changamoto ambayo wafanyabiashara wapya wanakutana nayo pale wanapoingia kwenye biashara, ni kukazana kwa kila kitu na hatimaye kuanza biashara, halafu wanakuta kwamba biashara haina wateja. Hii ni hali ambayo inaumiza sana hasa pale ambapo umejipanga kwa muda mrefu kuingia kwenye biashara husika. Hata kama upo kwenye biashara na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz