UKURASA WA 405; Njia Ya Uhakika Ya Kumshawishi Mtu Yeyote Kufanya Kitu.

By | February 9, 2016
Maisha ni ushawishi, kwenye kila siku yako unahitaji kuwashawishi watu kuchukua hatua fulani. Kama unafanya biashara basi unahitaji kuwashawishi wateja wanunue kile unachouza, au unahitaji kuwashawishi wanaokusaidia kuweka juhudi zaidi. Pia unahitaji kuwashawishi watu kuwekeza kwenye biashara yako. ni ushawishi kila siku na kila wakati. Kama umeajiriwa kila siku unahitaji

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In