BIASHARA LEO; Usiwe Nafuu Kuliko Wote.

By | February 17, 2016
Linapokuja swala la kuongeza mauzo na kukuza biashara, wafanyabiashara wengi huangalia eneo moja rahisi, kupunguza bei, au kuuza bei rahisi kuliko wengine. Hii inaweza kuonekana kufanya kazi kwa muda lakini baadaye itakuumiza, hasa kama utakuwa ndio bei nafuu kuliko wengine wote. Kama lengo lako ni kutengeneza biashara itakayokua na kudumu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In