UKURASA WA 413; Ukweli Unaonekana Vizuri Kuliko Unavyosikika…

By | February 17, 2016
Kama kuna kitu ambacho unaamini ni kweli, na una uhakika kabisa ni kweli, lakini watu wengine hawakubali wala kuamini kwamba ni kweli, una njia mbili za kuwafanya wakubali na kuamini. Njia ya kwanza ni kuwafanya wasikie, yaani kuwaambia. Na kwa sababu ukiwaambia watakubishia, basi utahitaji kubishana, na katika kubishana utahitaji

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In