UKURASA WA 449; Makosa Ya Wengine.

By | March 24, 2016
Makosa ya wengine ni kitu cha kipekee sana kwetu, Makosa ya wengine yanaonekana haraka sana, kuliko hata makosa yetu. Makosa ya wengine yanatupa vitu vya kujadili na kukosoa. Makosa ya wengine yanatupa ahueni kwamba angalau sisi tuko vizuri, kuliko hao wenye makosa hayo. Makosa ya wengine tunaweza kuamua kuyatumia tutakavyo,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In