BIASHARA LEO; Jinsi Ya Kuwafikia Wateja Wengi Zaidi.

By | April 26, 2016
Ukuaji wa biashara yako unategemea idadi ya wateja unaowafikia. Kadiri unavyowafikia watu wengi zaidi wenye uhitaji wa kile unachotoa, ndivyo inavyokuweka kwenye nafasi kubwa ya kufanya nao biashara. Sasa hapa kuna maswali muhimu unayotakiwa kujiuliza ili uweze kuikuza biashara yako. Swali la kwanza; kama umeweza kutengeneza faida kwenye eneo la

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In