BIASHARA LEO; Mada Tatu Za Kuepuka Kwenye Mazungumzo Yako Ya Kibiashara.

By | April 28, 2016
Wewe kama mfanyabiashara, mara kwa mara utajikuta kwenye mazungumzo na watu wengine, ambayo yanahusu biashara au mambo mengine. Watu hawa wanaweza kuwa wafanyabiashara wenzako,  wateja wako au wawekezaji. Na mnaweza kuwa mmekutana kwenye mkutano au kwenye eneo la biashara. Katika kuzungumza, mada nyingi zinaweza kujitokeza na mkachangia. Hii ni vizuri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In