UKURASA WA 497; Watu Ambao Hawawezi Kukuelewa….

By | May 13, 2016
Mtoto mdogo wa miaka mitatu, ambaye ndiyo kwanza amejua kuongea, akiangalia unachofanya na kukuambia huwezi kufanya kitu hiko au utashindwa unamchukuliaje? Hutampa uzito sana, kwa sababu unajua bado ni mtoto na hajui lile analolisema. Utamchukulia ni mtu ambaye hajui hata kitu chenyewe kinafanywaje ila amejisikia tu kusema hivyo. Kauli hiyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In