UKURASA WA 512; Maana Halisi Ya Utajiri…

By | May 28, 2016
Kuna watu hawapendi kusikia neno utajiri, yaani ni kama wana ‘allergy’ na neno hilo. Na siyo jambo la kushangaza kwa sababu ukiweka mambo ya kijamii na kidini pia, kuna mkanganyiko mkubwa. Wengine watakuambia siyo kila mtu anaweza kuwa tajiri, kwa hiyo wanachagua wao kuwa upande wa masikini. Wengine watakuambia masikini

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz