UKURASA WA 513; Anayesababisha Ushindwe…

By | May 29, 2016
Kuna mtu ambaye amekuwa anasababisha wewe unashindwa kwenye mipango yako mbalimbali unayojiwekea. Mtu huyu amekuwa anavuruga furaha ya maisha yako na kuyafanya yawe magumu zaidi. Mtu huyu amekuwa kikwazo kwako kufikia yale malengo ambayo umejiwekea. Lakini uzuri ni kwamba mtu huyu unaweza kumdhibiti. Ili uweze kumdhibiti mtu huyu unatakiwa kumjua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In