UKURASA WA 579; Hamasa Ni Moja Ya Kazi Zako…

By | August 1, 2016
Safari hii ya kuelekea kwenye mafanikio siyo safari rahisi. Imejaa changamoto na vikwazo vya kila aina. Kuna wakati utajikuta upo njia panda na unaelekea kukata tamaa. Huu ni wakati mgumu sana kwa mtu yeyote yule, na usipokuwa makini wakati huo unaweza kuwa ndiyo mwisho wa safari yako ya mafanikio. Kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In