UKURASA WA 585; Waambie Ukweli Uwapoteze…

By | August 7, 2016
Rafiki yangu Tumainiel Kimaro anaandika kwenye ukurasa wake wa Facebook kwamba; waambie watu ukweli na watatumia kila rasilimali waliyonayo kukupinga. Watakuja na ushahidi kwamba unachowaambia siyo kweli. Ila waambie watu uongo na watakuja wakishangilia, watakubaliana na wewe na wala hawatahoji. Hii ni kweli kabisa, ukitaka kuwapoteza watu, ukitaka kuwafukuza watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In