UKURASA WA 593; Umewakaribisha Wewe Mwenyewe…

By | August 15, 2016
Watu ulionao karibu kwenye maisha yako, wale ambao wanakuzunguka na unatumia muda mwingi kuwa nao kwenye maisha yako, hawajaja kwenye maisha yako kwa bahati mbaya, bali umewakaribisha wewe mwenyewe. Hukujikuta tu upo katikati ya watu fulani ambao wana tabia fulani, bali wewe mwenyewe uliwavutia watu hawa mpaka wakafika kwenye maisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In