UKURASA WA 614; Lazima Uumie Na Kimoja Kati Ya Hivi Viwili…

By | September 5, 2016
Hakuna ambaye anapenda kuteseka kwenye maisha, hakuna anayependa kuumia. Lakini uhalisia wa maisha upo tofauti kabisa na matakwa yetu, chochote tunachotaka kwenye maisha yetu, kinahusika na kuumia. Japokuwa watu wengi wamekuwa wakidanganyana kwamba kuna njia rahisi ya kupata kile ambacho wanataka bila ya kuumia, hakuna kitu kama hicho. Sasa kuna

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In