UKURASA WA 634; Haijalishi Uko Wapi, Inajalisha Nini Kipo Ndani Yako.

By | September 25, 2016
Nimewahi kutoa mfano huu kwenye makala za nyuma, lakini leo nitaurudia tena ili tuweze kujifunza. Kijana mmoja alikuwa na babu yake wamekaa nje barazani wakipiga hadithi, sehemu waliyokaa ni pembezoni mwa barabara ambapo watu wanapita. Wakati wanaendelea na hadithi zao, wakapita watu na mizigo, wakasimama na kuwauliza, sisi tumetoka eneo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In