UKURASA WA 643; Zawadi Kubwa Kabisa Unayoweza Kumpa Mteja Wako.

By | October 4, 2016
Umewahi kwenda kwenye biashara fulani kupata mahitaji yako lakini ukatoka pale ukiwa unajisikia vibaya na hutamani kurudi tena pale? Vipi kwa upande wa pili, ulishawahi kwenda kwenye biashara fulani na ukajisikia vizuri sana, ukatamani kurudi tena na kila unayekutana naye unamweleza kuhusu biashara ile? Naamini umeshakutana na hali hii mara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz