šŸ’„ #TAFAKARI YA LEO; NIKIPATA MUDA…

By | January 15, 2017
Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwends kuweka juhudi kubwa ili tuweze kupata matokeo bora kabisa. Tumia muda wa leo vizuri rafiki yangu. Asubuhi ya leo tutafakari jinsi ambavyo tumekuwa tunakwepa kuchukua hatua. Kuna mambo ambayo tumekuwa tunataka kufanya, lakini hatuanzi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In