πŸ’₯ #TAFAKARI YA LEO; FOCUS…

By | January 17, 2017
Hongera rafiki kwa siku hii mpya na nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora kabisa. Ule muda ambao ulikuwa unausubiri ndiyo umeshafika, jana ulisema utafanya kesho, na kesho yenyewe ndiyo leo. Hivyo usiahirishe tena kufanya leo. Asubuhi ya leo tutafakari

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In